Wednesday, 16 July 2014

MMH..HII MITEGO YA SHEMEJI YANGU JAMANI...KIDUME NAISHIWA UVUMILIVU...JIONEE MWENYEWE HAPA...!




Mke wangu na mimi ni watu ambao tupo Bize sana na majukumu ya kila siku ya kimaisha. Baada ya Miezi miwili shemeji yangu aliomba kuja kukaa kwangu kutokana na maisha
kumuendea kombo hivyo hakuweza kumudu swala la kulipa kodi na chakula. Baada ya wiki kadhaa kupita tuliishi kwa amani tele pale nyumbani kwetu...
Siku chache kabla ya Jumatatu kuingia nakumbuka ndipo balaa lilipoanza nikiwa simuelewi shemeji yangu. Mara ananifuata chumbani akiwa nusu utupu, mara chooni sasa naogopa sana mke wangu akija kugundua anachokifanya mdogo wake.

Baada ya siku kadhaa kupita mke wangu alipata safari kwenda Dubai kusafiri kukusanya Baadhi ya mizigo ya Dukani kwetu. Hapo niliihisi mwili mzima kulowa Jasho maana nilijua nini kitafuata...Naombeni ushauri wenu jamani maana akirudi mke wangu sijui itakuaje...

0 comments:

Post a Comment