Monday, 21 July 2014

NAHODHA WA ENGLAND GERRARD ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

Photo: GERRARD ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA
Nahodha wa timu ya taifa ya England Steven Gerrard, 34, amestaafu kucheza soka la kimataifa. 
Akizungumza kwenye tovuti ya chama cha soka cha England FA amesema: "nimefurahia kila dakika niliyowakilisha nchi yangu na ni siku ya masikitiko kufahamu sitovaa tena jezi ya England."
Gerrard ameichezea England kwa miaka 14.
Nahodha wa timu ya taifa ya England Steven Gerrard, 34, amestaafu kucheza
soka la kimataifa. 

Akizungumza kwenye tovuti ya chama cha soka cha England FA amesema: "nimefurahia kila dakika niliyowakilisha nchi yangu na ni siku ya masikitiko kufahamu sitovaa tena jezi ya England."
Gerrard ameichezea England kwa miaka 14

0 comments:

Post a Comment