Friday, 18 July 2014

NDEGE NYINGINE YA MALYSIA YAPOTEZA MAWASILIANO IKIWA NA ABIRIA 295 CHECK VIDEO HAPA


Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege
yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine.



Photo: Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine.
 Vifaaa vinavyodaiwa kuitungua ndege iyo

 Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine

Photo: Hivi ndivyo Ndege ya Malaysia ilivyoteketea baada ya kudondoka na kuyachukua maisha ya wote waliokuwepo ndani yake (watu 295)

Endelea kufuatilia updates hapa => http://bit.ly/1qKMKLzHivi ndivyo Ndege ya Malaysia ilivyoteketea baada ya kudondoka na kuyachukua maisha ya wote waliokuwepo ndani yake (watu 295)







0 comments:

Post a Comment