Saturday, 14 June 2014

KOMBE LA DUNIA:SPAIN YAPEWA KICHAPO CHA MBWA MWIZI TOKA KWA NETHERLANDS 5- 1




 Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika
ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia.
Robin van Persie alifunga bao zuri la kichwa cha umbali wa mita 30 kusawazisha kwa Uholanzi dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza.

Haamini macho yake: Casillas huku wachezaji wa Uholanzi wakishangilia bao la Van Persie.

0 comments:

Post a Comment