Monday, 16 June 2014

MAJANGA!!.."WAHUNI" WAINGIA KWENYE AKAUNTI YA FACEBOOK YA MEYA JERRY SILAA NA KUFANYA YAO

 
Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya
facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri. 

Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa.

Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Jerry Silaa

0 comments:

Post a Comment