Baada
ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa
Kikumba ‘Dude’ amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa vya
siasa vinamgombea..
Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude alisema
kuwa awali alikuwa agombee
kupitia Chadema, lakini baadaye CCM nao kupitia kiongozi mmoja mwenye
wadhifa mkubwa serikalini alimtaka agombee kupitia tiketi ya chama hicho, jambo linalomfanya abaki njia panda.
wadhifa mkubwa serikalini alimtaka agombee kupitia tiketi ya chama hicho, jambo linalomfanya abaki njia panda.
“Nipo
njia panda maana Chadema wamenipa jimbo la kugombea huku kwa upande
mwingine CCM nao wamenitaka nigombee kupitia chama chao yaani kwa sasa
sijui cha kufanya kabisa,” alisema Dude.
0 comments:
Post a Comment