
Wauza Sukari hao walinaswa na Camera ya
Mdaku katika mitaa ya katikakati ya jiji la Dar Es Salaam wakitwangana
makonde Huku wadau wakisema wawili hao wanadundana sababu ya Mmoja
kumwingilia mwenzie katika Koloni lake la kudumu hasa nyakati za Mchana.
0 comments:
Post a Comment