Mungu mkubwa jamani tumshukuru maana mtoto Merry amepatikana na huyo kulia naskia ndo aliyemuiba.
Wapenzi kwa uwezo wa Mungu mtoto Maryline amepatikana.Aliibwa Changanyikeni kapatikana Tandale.Huyo pembeni mwenye blue
ndio mwizi mwenyewe alikuwa houseboy wao zamani.Kwa nini alimuiba?je yupo salama na afya njema?wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi zitawaijia tutakapozipata.
0 comments:
Post a Comment