MWANAMKE wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa
kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim,
amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini
Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa
0 comments:
Post a Comment