Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana
mmoja kwa muda wa miaka sita sasa.
Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.
Naombeni ushauri jamani
0 comments:
Post a Comment