maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...
Team ya kazi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayakukosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa.
Huyu binti wa Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling
Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake.
0 comments:
Post a Comment