Sunday, 19 October 2014

AY KUACHIA NYIMBO MPYA NA MSANII TOKA MAREKANI SEAN KING STON


Mama yake na Sean Kingston, Janice Turner maarufu kama Mama Kingston, ameipa promo ngoma mpya ya AY aliyomshirikisha mwanae. Tayari AY na Kingston wameshoot video ya wimbo huo nchini Marekani.B0HjqqvCQAAkNqg

Africa get ready for the SMASH HIT VIDEO@aytanzania ft seankingston!!!!
mdash; Janice Turner (@mamakingston)
October 17, 2014 AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama  familia.
AY-and-Sean
AY and Sean”Hivi karibuni AY aliiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara.“Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama yake mwenyewe  tunawasiliana, kwahiyo ni

family yaani” Alisema Ambwene“Mama yake ananichukulia kama mtoto wake, hata kwenye Instagram yangu ana comment, halafu hii yote ni family ambayo mi nikienda L.A ndo watu wangu ambao hua nahang nao”Collabo ya AY na Sean Kingston iitwayo ‘Touch me Touch Me’ inatarajiwa kutoka November.

0 comments:

Post a Comment