maajabu mengine yakatokea
ulipomalizwa mti na kubaki shimo ndani ya shimo pakawa na vitu vya
thamani kama pesa nyingi,pingu za mjerumani n.k.Vilivyotumiwa na watu wa
zamani.Watu wakachukua na kufanya shimo hilo kubaki jeupe,na hapo ndipo
shimo hilo lilipoamua kuanza kulia kama binadamu.
Sunday, 19 October 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment