Saturday, 4 October 2014

Picha za Birthday Party ya Diamond Platinumz, zawadi ya Gari Aliyopewa na Video akibadilishana MATE na Wema Sepetu ziko hapa



Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.

 


Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
 


Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
 
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.
Diamond akionesha ufundi wa kupiga ngoma
Yamoto Band wakiwaburudisha waalikwa
Gari alilopewa kama zawadi na menejimenti yake
Mama Diamond

0 comments:

Post a Comment