Mwanaume mmoja huko Macedonia ametoa ya mwaka baada ya kukata nyeti zake kwa kiwembe na kuzitupa kutokana na kushindwa kutimiza haki ya unyumba kwa mpenzi wake huku chanzo
kikubwa
kikiwa ni udogo wa nyeti zake. Jamaa huyo aliwaarifu polisi baada ya
kutokwa na damu nyingi ila madaktari walifanikiwa kumfanyia upasuaji wa
kuunga nyeti zake ambao ulitumia muda wa masaa 5.
0 comments:
Post a Comment