Sunday, 14 June 2015

HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD(KTMA) 2015

Baada ya wadau wa muziki kusubiria kwa muda mrefu kuhusu nani atachukua ,basi wafuatazo ndio washindi wa tuzo mwaka huu;


Image result for kili music awards 2015


1.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA
   MWAKA- KIUME

  Ally Kiba

2.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA
   MWAKA- KIKE
 

   Vanessa Mdee


3.MWIMBAJI BORA WA KIUME-
   TAARAB
 

   Mzee Yussuf 

4.MWIMBAJI BORA WA KIUME-
    BONGO FLEVA
 

    Ali Kiba 

5.MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI 
   Jose Mara
     
6. MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
    Isha Mashauzi 

7.MWIMBAJI BORA WA KIKE- BONGO
    FLEVA
 
 

   Vanessa Mdee
8.MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI(hakukuwa na mshiriki)

9.WIMBO BORA WA TAARAB
    isha mashauzi

10.WIMBO BORA WA MWAKA
     ally kiba
11.WIMBO BORA WA KISWAHILI
     (BENDI)
 
 

     Otilia – FM Academia
 12.WIMBO BORA WA R&B
      JUX
13.WIMBO BORA WA HIP HOP
     I See Me – Joh Makini
14.WIMBO BORA WA REGGA/DANCE
     HALL
 
 
 

     Let Them Know – Maua

15.RAPA BORA WA MWAKA (BENDI
     FERGUSON

16.MTUNZI BORA WA MWAKA-
     TAARABU
 
 

     Mzee yusuph

17.MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO
     FLEVA
 

     ally kiba

18.MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
     Jose Mara
 


19.MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
     Joh makini

20.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
    WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO
    FLEVA
    Nahreel
 

21.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
     WA NYIMBO WA MWAKA- TAARAB

     enrico

22.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
     WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
 

      Amoroso

23. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
      Diamond platnumz

24.WIMBO BORA WA AFRO POP
      ally kiba

25.WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
      Nitampata Wapi – Diamond


26.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA
     ASILI YA KITANZANIA
     Waite – Mrisho Mpoto
 


27.MSANII BORA CHIPUKIZI
    ANAYEIBUKIA
    Baraka Da Prince
 

  
28.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/
     KUSHIRIKIANA
    Mfalme – Mwana FA fr G-Nako
 


29.BENDI BORA YA MWAKA
      FM Academia
 


30.KIKUNDI BORA CHA MWAKA-
     TAARAB
    Jahazi Modern Taarab
 


31.KIKUNDI BORA CHA MWAKA-
    BONGO FLEVA

Yamoto band
 

0 comments:

Post a Comment