Maafisa
nchini Ujerumani wanasema kuwa idadi inayozidi kuongezeka ya wakimbizi
wanaowasili kutoka nchini kama syria watasaidia kujaza pengo la ukosefu
wa wataalamu.
Mwenyekiti shirika la ajira nchini Ujerumani aliliambia gazeti moja kuwa watu wanaokimbia syria, wengine wameelimika na hivyo wanakaribishwa nchini Ujerumani.
Wakimbizi 350,000 watarajiwa kutafuta ajira nchini ujerumani mwaka huu.
Ujerumani hupokea maombi mengi ya hifadhi kuliko nchi yoyote katika muungano wa ulaya na idadi hiyo inazidi kuongezeka.
0 comments:
Post a Comment