IRENE UWOYA ANAENDELEA VIZURI BAADA YA KUDONDOKA NA KUPOTEZA FAHAMU KATIKA MSIBA WA RECHO HAULE JANA Posted on 08:55 by tzjamii with No commentsPosted in news Msanii wa filamu Irene Uwoya amekimbizwa hosipital nchana huu (May 29) baada ya kupoteza fahamu ghafla leaders club katika hatua za kuaga mwili wa msanii mwezake Rachel Haule aliyefariki juzi. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment