
Machale yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi wangu
akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi ya picha walionekana wakikiss, na nyingine kukumbatiana. Ushauri wadau nimpige chini au vipi?
0 comments:
Post a Comment