BIFU KUBWA: MZEE WA UPAKO AMPA MAKAVU LIVE MCHUNGAJI GWAJIMA ...! Posted on 07:00 by tzjamii with No commentsPosted in news Mzee wa Upako Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika? Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusiowajua?! Mchungaji Gwajima Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuongea?! Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment