Saturday, 21 June 2014

EMUNGU INUSULU AFRICA!!!: MUONE SHOGA HUYU ALIVOTUPIA PICHA MTANDAONI AMEVAA NGUO ZA KIKE VIATU NA POCHI LA KIKE

 

  katika kile kinachoonyesha kuwa maadili africa yanazidi
kumomonyoka, wanaume wengi wamezidi kujiingiza katika vitendo vya kishoga ambapo michezo hii imezidi kukua kwa kasi sana sana maeneo ya pwani ya afrika
ya mashariki, katika hali isiyoyakawaida shoga mmoja (jina kapuni) ametupia picha ya aibu mtandaoni kama inavyoonekana akiwa amevalia mavazi ya kike kuanzaia viatu mpaka mekapu liyopaka, hii ni aibu sana na vitendo hivi vinapaswa kukemewa kwa sauti ya pamoja, ili kunusuru kzazi cha vijana wa badae

0 comments:

Post a Comment