Friday, 20 June 2014

HOT NEWSS:::AJALI YA ROLI YATOKEA ENEO LA KINYEREZI/UKONGA NA KUNG'OA DARAJA,WAKAZI WA HUKO MNASHAURIWA KUTUMIA NJIA YA SEGEREA


 Roli likiwa limedondoka pamoja na Daraja Eneo la Majumba sita


 Wakazi wa Eneo hilo wakitazama ajali hiyo iliyotokea jioni ya leo
 Kama Unavyoona Roli limeng'oa daraja na kudondoka hivy njia haipitiki

Wakazi wakinyerezi poleni tumieni ya segerea na mongolandege hili la majumbasita limekua hiviii.


0 comments:

Post a Comment