Thursday, 26 June 2014

PINDA AKUTANA NA MSANII KUTOKA MKURANGA



PG4A3957Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii
tenzi, nyimbo na mashairi  kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye  alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima  (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment