Mwanamuziki
mwenye sauti tamu wa bendi ya FM Academia aka Wazee Wa Ngwasuma aitwae
Digital amefariki
dunia muda mfupi alipokuwa amelazwa katika hospital ya
Muhimbili jijini Dar, awali tangu wiki iliyopita alikimbizwa hospitali
ya Mwananyamala
baada ya kuzidiwa na maradhi, na chanzo cha kifo chake hakijaelezwa!
poleni FM Academia, ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu. Kwa habari zaidi nitaendelea kuwajuza zaidi, Mungu amlaze mahala pema peponi ameni |
0 comments:
Post a Comment