Friday, 29 August 2014

MTANGAZAJI LA CLOUDS FM (LOVENESS DIVA) AVUJISHA MESSAGE ZA ZITTO KABWE AKIMTONGOZA: HIZI HAPA




Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya
zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee



0 comments:

Post a Comment